Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Yeye kwa Sasa anayo level gan ya ElimuNaomba tushauriane katika hili wakubwa.
Asome ipi kati ya hizi ili kupata ujuzi na maarifa yenye matumizi
1. Post Graduate Diploma in Finance And Accounting
2. Bachelor of Business Administration
3. Bachelor of Computer Application
Ana diploma ya ualimu masomo ya sayansi (physics na maths)Yeye kwa Sasa anayo level gan ya Elimu
Huyu ni mtumishi KWA sasa au BADO hajaajiriwa????Ana diploma ya ualimu masomo ya sayansi (physics na maths)
Mkuu embu fafanua vizuri hapa. Nipate maelezo ya kushibaHuyu ni mtumishi KWA sasa au BADO hajaajiriwa????
Kama ni mtumishi aje tusome accounting maana atafanyiwa recategorization baada ya kumaliza
Kama si mtumishi asome business administration, ipo wide sana
Kama ni mtumishi asome BA ACCOUNTING huyu atabadilishiwa muundo na kuwa Afisa mahesabu na kama halmashaur inao upungufu mkubwa wa wahasibu anakuwa mhasibu wa halmashaurMkuu embu fafanua vizuri hapa. Nipate maelezo ya kushiba
Hiyo namba 3 sijawahi isikiA hapa TzNaomba tushauriane katika hili wakubwa.
Asome ipi kati ya hizi ili kupata ujuzi na maarifa yenye matumizi
1. Post Graduate Diploma in Finance And Accounting
2. Bachelor of Business Administration
3. Bachelor of Computer Application
Mkuu ndo kashasema hivyo, btw, watu wengi si wenye kizifahamu hizi kozi.Hiyo namba 3 sijawahi isikiA hapa Tz
We si ulileta uzi hapa kunanga watu walioajiriwa???Naomba tushauriane katika hili wakubwa.
Asome ipi kati ya hizi ili kupata ujuzi na maarifa yenye matumizi
1. Post Graduate Diploma in Finance And Accounting
2. Bachelor of Business Administration
3. Bachelor of Computer Application
soma uzi vizuri, umeambiwa ili apate maarifa yenye matumiziWe si ulileta uzi hapa kunanga watu walioajiriwa???
Mwambie ajiajiri aachane kusoma hiyo Ada atumie Kama mtaji
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app