hengo
JF-Expert Member
- Jun 6, 2011
- 402
- 50
Jamani kama mnavyojua matokeo ya kidato cha nne hayakuwa mazuri kwa wadogo zetu.Nimeamua mdogo wangu asome certificate na baadaye tafanya dip na kuendelea badala ya kulist.Sasa naomba ushauri kozi gani inaweza ikampa unafuu katika ushindani wa soko la ajira au kumfanya ajiajiri mwenyewe kati ya hizo nilizozitaja hapo juu.
Natanguliza shukurani kwa ushauri
Natanguliza shukurani kwa ushauri