Asome nini yenye unafuu katika soko la ajira marketing, community development na procurement

hengo

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2011
Posts
402
Reaction score
50
Jamani kama mnavyojua matokeo ya kidato cha nne hayakuwa mazuri kwa wadogo zetu.Nimeamua mdogo wangu asome certificate na baadaye tafanya dip na kuendelea badala ya kulist.Sasa naomba ushauri kozi gani inaweza ikampa unafuu katika ushindani wa soko la ajira au kumfanya ajiajiri mwenyewe kati ya hizo nilizozitaja hapo juu.

Natanguliza shukurani kwa ushauri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…