Aspecial message from Al Shabaab to Kenya

Hawashambiliwi sababu wanazuia, sio kwamba hawajaribiwi.
Anyway, Wewe unatetea kila kitu cha Uhuru sioni sababu ya kubishana hapa.
Hapa hakuna lolote linahusiana na Uhuru hapa, KDF ni KDF hata Raisi awe nani, bado KDF itakua ni KDF!
Dunia ya siku hizi ambayo kila mtu ana simu, Vita vyovyote hua lazima utasikia fununu, lazima kuna mkaazi angalau mmoja ataongea na vyombo vya habari (akina BBC na Aljazeera) na kuthibitisha kwamba majeshi ya Ethiopia yalipigana na alshabaab mahali flani, au walivamia kijiji flani na kushika watu.. etc...... Mbona hatusikii hizi story ???
Inakuwaje Alshabaab ina kikosi maalum kilichofanyiwa mafunzo spesheli ili kushambulia Kenya? Mbona hawana kikosi spesheli cha Uganda au Ethiopia au Burundi ...etc?
Inakuaje walitangaza vita vya jihad kwa Kenya pekee, mbona hawajawahi tangaza jihadi didhi ya Ethiopia na Uganda??
 
Sababu ya Kenya kuandamwa ni udhahifu wenu wa vyombo vya ulinzi. Pili ni dhuluma ya serikali ya Kenya inayowafanyi waisilamu na jamii ya kisomali inayoishi Kenya, msikilize huyu " Mohammed Addow" anasema wazi wazi kwamba wao kama wasomali wanateswa.
 
Geza Ulole is a terrorist,he should be looked for and should face the law while still alive
 
Sababu ya Kenya kushambuliwa saba ni dhuluma mbazowafanyia waisilamu na wasomali wanaoishi Kenya, angalia na sikiliza kwa makini hizi documentaries
 
Onyesha wapi Alshabaab ina kikosi maalum kwa ajili ya kushambulia Kenya?. Huu ujinga wenu na kujifanya mnajua kila kitu ndio sababu kubwa nchi yenu inazidi kujikuta katika matatizo kila siku.

Badala ya kukaa na kutafakari kwa kina chumbuko la matatizo yenu, ninyi kila siku mnafikiria mambo ya kijinga. Kila kitu kipo kinajulikana kwanini Kenya ni target ya Alshabaab, badala ya kujaribu kufanyia Kazi hizi sababu halisi, ninyi mnakuja na ujinga wenu.

Sikiliza waisilamu wa pwani wanavyoshabikia Alshabaab na wanasema wanaendelea kujiunga na Alshabaab ili kuipiga Kenya
 
Ukiona mwenzio ananyolewa........

Mbona hamuwashiki hawa kabla wavuke mpaka??? Kumbuka wale tunaowashika bado kuna wengine wanafanyikiwa kupenya, iko siku watarudi kwao vita vya Somalia vikiisha... ...

----------------------------------------------------------------------
A Tanzanian man facing six terrorism charges has been jailed by a Lamu court for 110 years.
Abdul Harun Karim was found at Kiwayu Island in Lamu County three years ago while recording a video entitled "suicide bomber".
On Wednesday, he was found guilty by Lamu Principal Magistrate T.A. Sitati of being a foreign fighter in the country and sentenced to 30 years in prison.
The magistrate said being a foreign fighter in Kenya was a serious offence.
According to the prosecution, Karim was arrested on May 9, 2016, at Kiwayu Island in Lamu on his way to Somalia to be trained as a terrorist.
The magistrate convicted him for this offence and sentenced him to 20 years in prison.
Sitati ordered that the accused serve 30 and 20 years concurrently for first and second counts, then start serving 15 years each on four counts of collection of information, concurrently.
-----------------------------------------------


--------------------------------------------------
Three Tanzanians have been handed a 15-year jail term each after being charged with terrorism in Kenya.
The trio from Zanzibar, a semi-autonomous archipelago, were arrested last year in the border Wajir County, in northeastern Kenya attempting to cross into Somalia. They were found in possession of items used in terrorism acts.
Mbarouk Ali Adibu (34), Idarous Abdirahman (32) and Islahi Juma (22) appeared before Wajir Senior Resident Magistrate Amos Makoros for sentencing on Wednesday following convictions on Tuesday.
They will now serve their sentences at Wajir Prison.

-----------------------------------------------------------


Tanzanian jailed for life over Garissa University attack as 2 Kenyans get 41 years each

------------------------------------------



-------------------------------------------------------------

Thursday, 25th July 2019, Latest military intelligence reports from Somalia indicate that three (3) Tanzanians fighting for the Al-Qaeda affiliate, Al-Shabaab have been captured in a military operation conducted in Afmadow, Somalia.
Military source reports indicate that the intelligence-led operation saw the three Tanzanian, terror operatives arrested and a number of jihadists materials, bomb making materials recovered from their house
------------------------------------------------------------------------




Ingekua ni Serekali ya Tanzania inashika magaidi wa Kenya kwa kiwango hichi, Watanzania wangekua walishaanzisha propaganda kwamba eti Kenya inatuma magaidi waaende Tz kuangusha serekali na kuhujumu Uchumi wa Tz.. blah blah blah kama vile huwa mnadai eti ma CEO wa Kenya hua wanatumwa waende Tanzania kuhakikisha kampuni zenye ziko Tanzania hazitawahi kutengeneza faida blah blah blah
 
Hapa bro umenena kabisa...hawa jamaa wanachuki plus roho mbaya walai...
Hakuna nchi yenye raia wanafiki km watanzania...ukicheza nao watakupaka mafuta kwenye mgongo wa chupa[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

Ingekua ni Serekali ya Tanzania inashika magaidi wa Kenya kwa kiwango hichi, Watanzania wangekua walishaanzisha propaganda kwamba eti Kenya inatuma magaidi waaende Tz kuangusha serekali na kuhujumu Uchumi wa Tz..
 
Hao waisilamu toka Tanzania wanakuja kuwasaidia waisilamu wenzao wa Kenya mnaowapiga risasi na kuvamia misikiti yao, ndio sababu Alshabaab huwa wanawatenga waislam na wakristo kabla ya kuwauwa wakritso.

Kitu muhimu ni ninyi wakenya kupunguza kujifanya mnajua kila kitu, jaribuni kusikiliza na kujifunza toka nchi zenye Amani kama Tanzania, sisi huku kuna waisilamu wengi zaidi kuliko nchi yoyote hapa Afrika nashariki na kati, lakini husikii wakilalamika kwamba wananyanyaswa, hata Alshabaab wenyewe walisema hawana matatizo na Tanzania.
 
Bado unaendeleza roho chafu...kw unafiki tu...hamu wezekani
 
Nionyeshe lini walijaribu huko na wakashindwa??? Hivi unajua KDF pekee imeua alshabaab 3,000?? Niambie ni majeshi ya nchi gani nyengine hapo Somalia inakaribia hio number??
Ww KDF ni jesh dhaifu, yaan kuingia tu mpakan hapo somalia (kisimayu) mlitumia mwaka mmoja ndo mkaweza kupita sasa huoni mlivyo viazi mbatata
 
Lini umesikia Shabab wameattack Nairobi isipokuwa January this year? Last time waliattack Nairobi ilikuwa 2015. Kwa hivyo punguza presha. Wao wakija tunapasua vichwa vyao tu. Hatuwaogopi na wanajua hivyo.
 
Lini umesikia Shabab wameattack Nairobi isipokuwa January this year? Last time waliattack Nairobi ilikuwa 2015. Kwa hivyo punguza presha. Wao wakija tunapasua vichwa vyao tu. Hatuwaogopi na wanajua hivyo.
Hahahaha, nilikumiss sana "kakablaza". Hivi lile shambulio ka Duset2 Hotel lilifanyika mwaka gani?
 
Hahahaha, nilikumiss sana "kakablaza". Hivi lile shambulio ka Duset2 Hotel lilifanyika mwaka gani?
Soma tena comment yangu. Nimesema isipokuwa January this year. Hio ndio Dussit. Nadhani baada ya zaidi miaka mitatu bila mashambulizi, tulianza kuzubaa kidogo ndio wakapata mwanya. Lakini vichwa vyao vilipasuliwa na nilipost hapa.
 
Soma tena comment yangu. Nimesema isipokuwa January this year. Hio ndio Dussit. Nadhani baada ya zaidi miaka mitatu bila mashambulizi, tulianza kuzubaa kidogo ndio wakapata mwanya. Lakini vichwa vyao vilipasuliwa na nilipost hapa.
Hii maana yake wanaweza kupiga wakati wowote, sio lazima wapige kila siku. Lengo kubwa la terrorist ni kusababisha wasiwasi, sio kupiga au kuua, wakifanikiwa kupiga au kuua basi ni matokeo tu.

Wamefanikiwa sana kuiweka Kenya katika "state of terror". Muhimu ni ninyi wakenya kujitadhimini kama kweli maamuzi yenu kwenda Somalia yamesaidi au ni hasara, kisha mtafute njia nzuri ya kuishi na jirani zenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…