Aspecial message from Al Shabaab to Kenya

Nonsense, mnashambuliwa sababu ya udhaifu wenu wa kujilinda. Walijaribu Ethiopia wakashindwa, Uganda pia walidhibitiwa.
Your intelligence agency is clueless.

Naona tatizo Lao ni njaa inaonekana wanawauzia silaha hao hao al shabab
Njaa mbaya sana na uzalendo unautupa kule hahaha
 
Kwendraaa kanyambe mbele [emoji23][emoji23][emoji23]
The last people to talk of terrorism should be Tanzanians,you are exporting terrorists to Kenya, Somalia and Mozambique as we speak.
 
Ethiopia haina Uhuru wa vyombo vya habari.
Ethiopia hushambuliwa Sana kuliko unavyodhania weye,sema wanaminya ukweli,ni nchi ya kiimla kikomunisti Kama vile Tanganyika.
 
Ethiopia haina Uhuru wa vyombo vya habari.
Ethiopia hushambuliwa Sana kuliko unavyodhania weye,sema wanaminya ukweli,ni nchi ya kiimla kikomunisti Kama vile Tanganyika.
Kuna msomali flani, aliniambia kuna kijiji flani mpakani mwa Somalia na Ethiopia, alshabaab walipitia hicho kijiji wakiingia Ethiopia, hicho kijiji kilikosa ku repot kwa serekali ya Ethiopia, baada ya siku kadhaa,Jeshi la Ethiopia lilifika hapo na kijiji chote kiliuliwa na nyumba na ngome,mbuzi kuchomwa, sababu eti "wasaliti", Akasema hii ndo maana wanavijiji walio mpakani mwa Ethiopia wako raadhi wapigane na Alshabaab wenyewe kuliko kuwaacha wapite manake wanaogopa Serekali ya Ethiopia kuliko Alshabaab...
Huyo msomali alipo nipigia hio story nilimuangalia tu, sikumuamini , nikamwambia kama jeshi la Ethiopia lingekua linafanya hivyo kwa wananchi wake hapo mpakani ingekua tuliskia kwa vyombo vya habari... Lakini kwa upande mwengine, hua hausikii habari zozote za Alshabaab huko Ethiopia... Kuna kauwezekano sababu ni hio ya hakuna uhuru wa vyombo vya wanahabari.
 
Ww KDF ni jesh dhaifu, yaan kuingia tu mpakan hapo somalia (kisimayu) mlitumia mwaka mmoja ndo mkaweza kupita sasa huoni mlivyo viazi mbatata
Kismayu ni mji ulio bahari hindi ambayo ni kama 200km .... Baada ya mwaka mmoja ilikua tumeua alshabaab 3,000




Marekani kule Afghanistan alipeleka zaidi ya wanajeshi 50,000 na miaka kumi na nane baadae wana negotiate na maadui wao Taliban ili wawachie nchi!

Kama nchi yako haijawahi pigana vita vya kigaidi, usifungue domo bila kufikiria!
 
Hii ni baada ya Alshabaab kuwakanya Serekali ya Tz kuingilia mambo ya Somalia, Kuna ule wakati serekali ya Jakaya kikwete ilikua inapaswa kutoa mafunzo kwa Wanajeshi 1,000 wa Somalia baada ya Kenya na Uganda kufanya hivyo.... Alshabaab wakatoa onyo kwa nchi yoyote itakayo saidia Serekali ya Somalia, tangu hi siku Tanzania haijawahi toa tamko lolote...
Hili ndo funzo unataka tujifunze kutoka Tanzania??? Cowardice????
 
Mtanzania utaongea naye, acheke nawe, ufikirie nyi mmekua marafiki, Ukishaondoka yale atakayo kuongelea nyuma yako utashangaa
 
Hizi ni propaganda za wakenya, wakishindwa kujenga hoja kutetea udhahifu wao, hukimbilia vyombo vya habari, dunia ya Leo iliyojaa smart phones, huwezi kuficha unyama mkubwa kiasi hicho, lazima ukweli utajulikana, acheni kujiliwaza, hakuna kinachofichika, Kenya mnamapungufu Mengi sana, ndio sababu yanajitokeza kila siku.
 
Sasa nieleze kwanini hua ni nadra sana usikie habari zozote za vita kati ya wanamgambo wa alshabaab na wanajeshi wa Ethiopia? ndai ya mwaka mzima utasikia tu kama mara mbili, Angalau UPDF hua tunaisikia kwa vyombo vya habari mara kwa mara kule Mogadishu....

Kwa upande mwengine hautakosa Mwezi bila Kusikia KDF imekumbana na Alshabaab kwa mpaka wa Kenya-Somalia au huko ndani ya Somalia..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…