Kongosho asali ya ODM, hebu come this way.
Leo tunaanza siku 364 za wanaume duniani.
Kuna mtu nimemtuma akuketee kirunguri cha mtama.
Yuko hapo getini, kachukue.
Ha ha haaa, chezea Kirunguri weye?
Msaada kwenye tuta basi wakwetu, we huoni hali si nzuri hapa!!??
Mbona hii high way haina tuta?
Umesahau Magufuli kapiga marfuku kwenye highway zote?
Wee dereva fuata sheria, na babu ODM anakuona hivyo.
Akikasirika huwa analia.
Magufuli kitu gani bana wakati highway limejaa matuta kila baada ya kilometa chache utafikiri shamba la mihogo.
Chalinze tuta, chalinze mzee tuta, msoga tuta, mboga tuta, lugoba tuta, yaani kero tupu.:crazy:
ODM naona kama anachekelea, huenda ndiye katia fitna, hadi atakapotoa msaada ndo ntaacha kumtuhumu!!
Kongosho asali ya ODM, hebu come this way.
Leo tunaanza siku 364 za wanaume duniani.
Nshafika, nani anakuchokoza? kama vipi ntakuruhusu utumie ile silaha nlokuazimaga. Kama umeshindwa kuitumia nirudishie niwe na bunduki mbili.:crazy:basi ngoja nisubiri ODM atasemaje.
Si unajua ana funguo za kila kitu yangu?
Anakuja sasa hivi.
Nlikuwa nakakagua kasije kakatuaibisha ukweni....:cool2:he he he, babu tena mara hii.
Afu nna wivu, kwa nini kaba aling'ang'ania chumbani kwako masaa matatu?
Mpododo bana, kuku si mtamu kwangu, kwangu mtamu bata....albatarMpwa na wewe unapenda kuku mtamu?
:hand:anapenda digidigi huyo
anapenda digidigi huyo
Mpododo bana, kuku si mtamu kwangu, kwangu mtamu bata....albatar