LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
Habari zenu wakuu...
Kuna habari nimekutana nayo jana mtaani naomba kushare na wanajamvi...
Nimemsikia mama mmoja akimtahadharisha binti yake kuhusu mchumba wake. Inasemekana huyu mchumba wake ni muathirika wa VVU.
Binti akajibu wameshaenda wote kupima virusi na wote wamekutwa wapo salama. Mama akamjibu kwa ukali, "Usiwe mpumbavu wewe, atakuwa alikunywa ASPIRIN kabla ya kwenda kupima. Mtu akinywa Aspirin halafu akaenda kupima VVU hata kama anavyo, ataonekana yupo HIV NEGATIVE.."...
Sikuwahi kusikia habari hii before, so nimeona vema niilete hapa jukwaani ili wana jamvi waweze kutoa maoni yao.
KAMA NI KWELI BASI, WATU WENGI SANA WATAUMIA.