Aspirin na virusi vya UKIMWI

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
18,037
Reaction score
33,681
Habari zenu wakuu...

Kuna habari nimekutana nayo jana mtaani naomba kushare na wanajamvi...

Nimemsikia mama mmoja akimtahadharisha binti yake kuhusu mchumba wake. Inasemekana huyu mchumba wake ni muathirika wa VVU.

Binti akajibu wameshaenda wote kupima virusi na wote wamekutwa wapo salama. Mama akamjibu kwa ukali, "Usiwe mpumbavu wewe, atakuwa alikunywa ASPIRIN kabla ya kwenda kupima. Mtu akinywa Aspirin halafu akaenda kupima VVU hata kama anavyo, ataonekana yupo HIV NEGATIVE.."...

Sikuwahi kusikia habari hii before, so nimeona vema niilete hapa jukwaani ili wana jamvi waweze kutoa maoni yao.

KAMA NI KWELI BASI, WATU WENGI SANA WATAUMIA.
 
LIKUD

Invisible, hebu hamishia hii thread jf doctor tasafali. Huko kuna wadau wa kutoa neno kuhusu hii allegation ya asprin.
 
Last edited by a moderator:
kuna point yakunote hapo, hata ukinywa panadol ukipima magonjwa mengi tuu before 6 hours hayaonekani
 
ni sawa maana atamimi nilienda kupima malaria nikakutwa sina ila dalili zote nilikuwa nazo dokta akaniuliza umekunywa panadol au seprin kabla ya kuja? nikajibu ndio nikaambiwa nije baada ya masaa sita dawa ikiwa imeisha nguvu
 
kuna chalii alikunywa diclopar namwuuliza unaumwa akadai anaenda pima na dem wake ivyo atak presha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…