Asprin huku ndiyo tunakaribia elekea

Hivi Sam, hivi vionjo huwa unavitoa wapi? Au ndo utu uzima dawa....πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜œπŸ˜œπŸ˜œ

Ila hawa viumbe hawana adabu kama bata tuu kumwaga radhi wao sio shida kabisaa aka kubambia heheheeee

Karibu keki mama...

Hahahahahhaa Sam mbona una fujo lakiniii..!!??

Watoto bado hawajalala ujue.... watapofuka macho hehehehehee πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Ila unaniongezea mwendo, endelea tuu...

Mahaba mahabani...

Hivi Sam, hivi vionjo huwa unavitoa wapi? Au ndo utu uzima dawa....πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜œπŸ˜œπŸ˜œ

Ila hawa viumbe hawana adabu kama bata tuu kumwaga radhi wao sio shida kabisaa aka kubambia heheheeee
Ndiyo maana mambo yetu tunatakiwa kuyaweka faragha, yakianikwa unakua sawa na mnyama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…