Asprin ninunulie IST na mimi niwe kwenye list ya waliohongwa

Asprin ninunulie IST na mimi niwe kwenye list ya waliohongwa

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
Na mimi ninahitaji kuendesha IST maana mkuu amezipa sana promotion.

Yangu iwe ya blue bahari niwafunge midomo mtaani. Na mimi nimehongwa IST

1115994



Asprin
 
kumbe ndo hizo, mana hua nazisikia tuuu
 
Huyu mzee bado anaishi kwa shemeji yake magomeni, yaani mme wa sister yake ambaye huyu mzee Asprin anamwita shemeji amefungwa yupo gerezani Hong Kong kwa case ya madawa ya kulevya, labla wee Bi mdashi Sky uvute subra shemeji yake huyu mzee atoke ndiyo unaweza ukahongwa hiyo gari.....
 
Back
Top Bottom