Asprin ninunulie IST na mimi niwe kwenye list ya waliohongwa

kumbe ndo hizo, mana hua nazisikia tuuu
 
Huyu mzee bado anaishi kwa shemeji yake magomeni, yaani mme wa sister yake ambaye huyu mzee Asprin anamwita shemeji amefungwa yupo gerezani Hong Kong kwa case ya madawa ya kulevya, labla wee Bi mdashi Sky uvute subra shemeji yake huyu mzee atoke ndiyo unaweza ukahongwa hiyo gari.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…