Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shadeee!!...umeona ID mpya hiyo?Duuh
Id mpya zinachekesha sana aisee
Just imagine,hii ni thread
Anakuja kasi, hajajifunza bado. Akimaliza wiki atausoma mchezoId mpya zinachekesha sana aisee
Just imagine,hii ni thread
uyu duu naona kayamwaga hadharani, subiri Skylat ajeAnakuja kasi, hajajifunza bado. Akimaliza wiki atausoma mchezo
Nimeiona Darmian. Ni hatari sana kwa Seva za jf. Yaani zinapata tabu sana.Shadeee!!...umeona ID mpya hiyo?
Hahahahaa dahFlirting ya kiwango cha lami![emoji6][emoji6][emoji6]
Naomba uwe classmate wanguNimeiona Darmian. Ni hatari sana kwa Seva za jf. Yaani zinapata tabu sana.
Mzee baba unataka kuniibia kismati changu?Unapajua pm mkuu ...
Au ngoja nije nikupeleke
Hubby Asprin
Babu vipi unakwenda kwa vijukuu?Mzee baba unataka kuniibia kismati changu?