Seriously kama yupo mbali nipo hapa, mlezi wa wajane, baba wa yatima konki master
Unataka kumpiku babu we kijana huogopi?
Kama babu yupo mbali nae anachapiwa tuu hamna kesi wala laana
Phenomenal woman muone anko Juju na Irene wakizeeka Cc Nyani Ngabu
Uncle atazeeka na Phenomenal Woman.
Ndo wameagana sasa hivi....
Uncle atazeeka na Phenomenal Woman.
Ndo wameagana sasa hivi....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nshammiss...Wacha weee.. anko Juju naona unataka uwe mkwe wangu sasa. Phenomenal woman nianze kula mahari au?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nshammiss...
God... Duniani bado kuna mapenzii ujue!!Hahahahaaa. Naona mahaba yamechomoza
God... Duniani bado kuna mapenzii ujue!!
God... Duniani bado kuna mapenzii ujue!!
Me nalala bwanaa....[emoji16][emoji847]Unaongea na mimi au na nani?
Kwahiyo yamechomoza kwenu eeh??Yapo sana tu.
Me nalala bwanaa....[emoji16][emoji847]
Ushafika au unalala kwenye uber?