Assad alienda omba msaada kwa Netanyau kabla ya kukimbilia Russia.

Assad alienda omba msaada kwa Netanyau kabla ya kukimbilia Russia.

Minjingu Jingu

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2023
Posts
1,072
Reaction score
2,384
Russia walishaonesha kuwa hawawezi peleka wanajeshi kule Syria sababu nao wana kibarua kigumu na Ukraine.

Irani wamekuwa paralysed na israel hasa kile kipigo cha mwisho cha ndege za kuendeshwa na mademu.

Hizbullah.... Inajualikana nayo ipo alijojo. Assad kamanda wangu ambaye nlikuwa namwamini sana. Akaona basi yeshe.
Screenshot_2024-12-09-01-44-41-492_com.twitter.android~2.jpg
 
Inamaanisha nini?
Yitgadal Ve-Yitkadash Shemei Rabbah.

This is often translated into English as “Magnified and sanctified be His great name.” It is understandable how this could be seen as a prayer praising God.
 
Alijibiwa kwa Sala ya msibani.

"May His great Name be blessed forever and to all eternity"
 
Labda aliomba asitunguliwe akiwa angani and akatoa code zote za silaha za maangamizi kuwa Israel aziteketeze ndio kinachoendelea sasa Syria hawana tena fighter jet Helicopter, S 300 s 200 , ballistic missile, na navy nayo leo imeteketezwa.. sasa waasi wajipange si wamesema wanataka kufika Jerusalem
 
Russia walishaonesha kuwa hawawezi peleka wanajeshi kule Syria sababu nao wana kibarua kigumu na Ukraine.

Irani wamekuwa paralysed na israel hasa kile kipigo cha mwisho cha ndege za kuendeshwa na mademu.

Hizbullah.... Inajualikana nayo ipo alijojo. Assad kamanda wangu ambaye nlikuwa namwamini sana. Akaona basi yeshe.
View attachment 3172817
Huo ndio ujanja kuliko angeng'ang'ania nchini Syria hakika waasi wangemuua kama walivyofanya kwa Gadafi na kunyongwa kwa Saddam mana waligoma kuondoka katika nchi zao licha ya kupewa ofa ya hifadhi katika nchi nyingine
 
Back
Top Bottom