Minjingu Jingu
JF-Expert Member
- Nov 2, 2023
- 1,072
- 2,384
Zion.Hiyo tafsiri ni ya kiyunani au kizayuni?
Inamaanisha nini?Zion.
Yitgadal Ve-Yitkadash Shemei Rabbah.Inamaanisha nini?
Huo ndio ujanja kuliko angeng'ang'ania nchini Syria hakika waasi wangemuua kama walivyofanya kwa Gadafi na kunyongwa kwa Saddam mana waligoma kuondoka katika nchi zao licha ya kupewa ofa ya hifadhi katika nchi nyingineRussia walishaonesha kuwa hawawezi peleka wanajeshi kule Syria sababu nao wana kibarua kigumu na Ukraine.
Irani wamekuwa paralysed na israel hasa kile kipigo cha mwisho cha ndege za kuendeshwa na mademu.
Hizbullah.... Inajualikana nayo ipo alijojo. Assad kamanda wangu ambaye nlikuwa namwamini sana. Akaona basi yeshe.
View attachment 3172817