assalam alheikum wanaume wote waliotoka nje ya ndoa mwaka mzima bila ya kufumaniwa

Big up kwa kina mama wote ambao wamezaa na kidumu bila waume zao kushtukia. Nawatakia a very adventurous 2012!
 
teh teh teh! Kweli mkuu nawahi bar!


mkuu nimeelewa nilikuwa nawakatisha taamaa wale wanaojitayarisha kukusubiri ukishalewa wakwambie umekunywa bia saba
kumbuka kuweka chupa chini kila unapokunywa usikubali wachukue umekwisha hasa
DIDYGARDEN
BREAKDIDY
Kuwa makini ukiona anahuduma nzuri usiache kumoa 500 impe tafu kwenda 2012 mkuu
 
Shekh,asalam aleykum ni salam ya kiarabu meanz aman iwe juu yenu,
Najua sana ndo mana yake....Sasa wewe unapongeza waume wazinifu waendellee kuzini na waisihi kwa amanii>.<.
 

napajua pale! Ntakuwa makini kinoma ila jero jero ntawapa ili waufaidi mwaka mpya! Nawahi bar!
 
jana nilikuwa breakdidy namama didy mbele kuna kabinti kanapewa inatwaje vile kastolaiti bana kanywa nne jamaa mmoja akaanza binti alipokwenda chooni akakuta jamaa wa pili nae kaaaaanza aisee short kama wamjua asiende kudai bili kapeleka 42,800 binti na pombe kaaanza kuchekaaaaa akanifurahishaaaa akasema """nasikiaaaaaaaaaaaaaaa utaaaaaaaaaamuuuuuuuuuuuu""""mwishowe niliona wakachukua simu yake kwa makubaliano mabinti muwe makni hasa siku za kumalizia mwaka yanaibuka mapepo ya ajabu ajabu bana yanakupa ofa alafu yakikinai yanakuacha ukidaiwa bili
 

short naee! Hanaga masihara! Ila mabinti nao wameziidi kujishaua! Alafu vibinti vyenyewe vinakeraa! Unakakuta kamekaukiwa kanakunywa fanta,hebu kauli unakunywa nini mrembo utaskia"windhock" sasa ulikuwa wapi kuanza nayo? Hadi uanze na fanta! Saizi yao! Nawahi bar!
 
PDidy nilikuonya January mdogo wangu acha bange... unaona sasa mambo gani haya

tuwape asalaaam aleykum wale wote waliopigwa vibuti mwaka huu, wajiandae kwa yaleyale mwakani
 

Kaka wengine hatujoa ila sinza tunaenda na vimada vyetu sasa vyumba vikipanda bei itabidi tuingie vichakani.....sala yako isifianikiwe
 
wazinzi nao nawaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaapa aslaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaam alheeeeeeeeeeeikhum maaaaaaaaaana mwakani ndoa kwao inaendeleeeeeeeeea akubaki jina nawe juu nakupa asaaaaaaaaaaaaaaaaaaaalahaaaaaaaaam aleikhuuuuuuuuuuuuummmmmmmmm
ahsante Mkuu,salam maridhawa zimefika,tuombe uhai tuvuke salama 2011 ili tuendeleze u infiii!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…