Assalamu allaykum

Allaykum Assalamu wabarakatu keifa??
 
Wa aleyna wa aleykumsalam taalah wabarakatu
 
Assalaam alaykum wana jamii
jee hamujambo ? haya sasa tunaweza kua karibu
mimi sio mgeni bali nitakua mwenyeji:smiling:
 
sie tunakaribisha wageni tu,kama ni mwenyeji kulikoni???:mmph:
 
Wa Alaikum Asalam Wa Rahmat Allahi Wa Barakatou, Ahalan Wa Sahalan! Ndugu yetu karibu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…