kaka jaribu kuwasiliana na jamaa wa UCC (university Computing Centre) jamaa wakali sana wa software; mimi kuna moja nimewahi kutumia kama unayotafuta walitengeneza wenyewe.
So please jaribu kuwasiliana nao jamaa kwa namba hizi 0744 782120 au mail ucc@udsm.ac.tz