Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii hapa maana yakeIle assist alioitoa chama na kuzaa goli la Simba leo inaitwa LA PAUSA kwenye football. Mashabiki wa Simba kule spain na ulaya wanauliza kama lipo neno la kiswahiliView attachment 2395962
la pausa linatokana na neno la kihispani. ni matumizi ya ujuzi wa hali juu sana mchezaji/mshambuliaji anamfanya mjinga mpinzani, mchezaji mwenye mpira anatulia kidogo na kuwafanya mabeki waufuate mpira kwake kwa tamaa kuwa wataupata, baada ya mabeki kuufuata, kwa haraka sana na kutumia akili nyingi atapenyeza mpira huo kwa mchezaji mwenzie kwenye nafasi na kufunga. hii aina ya mipira sana inachezwa na midfield maestro kama chama wa simba sc, xavi, david silvahii hapa maana yakeView attachment 2395964View attachment 2395965
Wewe unajua mpira na kihispaniola kuliko huyo mwandishi mkuu...Pass ni La pausa ?
Hiyo si ni Moja ya character za midfielder kudelay delay kupiga pass kuskilizia attention na mikimbio.
sikujua hii kitu mkuu, naskia pia una sekukunde zake za kukaa na mpira, zizidi 3. na ndio kilichotokea kuna mtu kahesabuPass ni La pausa ?
Hiyo si ni Moja ya character za midfielder kudelay delay kupiga pass kuskilizia attention na mikimbio.
Ni kweli man, ukidelay Sana wanarudi katika shape real quick.sikujua hii kitu mkuu, naskia pia una sekukunde zake za kukaa na mpira, zizidi 3. na ndio kilichotokea kuna mtu kahesabu
ndio magoli mabovu duniani. ile ni set piece. Magoli ya aina ile yalifungwa mengi sana msimu uliopita CAF champions league lakini Sakho akashinda kiatu. A good goal should involve so many players. Sisi bado tunawaza maholi ya mbali ndio magoli boraIla lile goal la Yanga ni hatari zaidi natumai Ndio bao bora la mwezi
Dunia gani iyo? Bao la mbali likawa la kawaida, kushinda kwa Sakho kiatu akufanyi mabao ya mbali yakatoka kwenye ubora wake yamekua bora toka zamani na bado yataendelea kuwa bora.ndio magoli mabovu duniani. ile ni set piece. Magoli ya aina ile yalifungwa mengi sana msimu uliopita CAF champions league lakini Sakho akashinda kiatu. A good goal should involve so many players. Sisi bado tunawaza maholi ya mbali ndio magoli bora
Hili LA huyu Jamaa lililota taka kuua mtu tunaliitajeIle assist alioitoa Chama na kuzaa goli la Simba leo inaitwa LA PAUSA kwenye football. Mashabiki wa Simba kule Spain na Ulaya wanauliza kama lipo neno la Kiswahili
View attachment 2395962
Umeamua kujitoa akilindio magoli mabovu duniani. ile ni set piece. Magoli ya aina ile yalifungwa mengi sana msimu uliopita CAF champions league lakini Sakho akashinda kiatu. A good goal should involve so many players. Sisi bado tunawaza maholi ya mbali ndio magoli bora
a good goal involes so many players. hayo ya mbali mengi yanakuwa ya kubaatisha. toto ndio magoli yake hayo, sopu anafunga pia magoli hayo. an average player can score alsoDunia gani iyo? Bao la mbali likawa la kawaida, kushinda kwa Sakho kiatu akufanyi mabao ya mbali yakatoka kwenye ubora wake yamekua bora toka zamani na bado yataendelea kuwa bora.
an average player can also score. kwani fei nae si anafunga pia magoli hayoUmeamua kujitoa akili
Set pieces sio kila mtu anaezafunga usichukulie poa ata ayo unayosem yana involve many players average players wanaweza funga vilevile ufundi wakupiga ile mipira sio wachezaji wengi wanayo ndio maana wachezaji kama Messi nafasi kama hizo zikitokea watu wanajua goal tayaria good goal involes so many players. hayo ya mbali mengi yanakuwa ya kubaatisha. toto ndio magoli yake hayo, sopu anafunga pia magoli hayo. an average player can score also
Angekua anacheza ligi ya bongo kwa hizo sifa unazo mpa?an average player can also score. kwani fei nae si anafunga pia magoli hayo
la pausa linatokana na neno la kihispani. ni matumizi ya ujuzi wa hali juu sana mchezaji/mshambuliaji anamfanya mjinga mpinzani, mchezaji mwenye mpira anatulia kidogo na kuwafanya mabeki waufuate mpira kwake kwa tamaa kuwa wataupata, baada ya mabeki kuufuata, kwa haraka sana na kutumia akili nyingi atapenyeza mpira huo kwa mchezaji mwenzie kwenye nafasi na kufunga. hii aina ya mipira sana inachezwa na midfield maestro kama chama wa simba sc, xavi, david silva