Assist ya Chama kwa Okrah inaitwa 'La Pausa' kwenye soka

la pausa linatokana na neno la kihispani. ni matumizi ya ujuzi wa hali juu sana mchezaji/mshambuliaji anamfanya mjinga mpinzani, mchezaji mwenye mpira anatulia kidogo na kuwafanya mabeki waufuate mpira kwake kwa tamaa kuwa wataupata, baada ya mabeki kuufuata, kwa haraka sana na kutumia akili nyingi atapenyeza mpira huo kwa mchezaji mwenzie kwenye nafasi na kufunga. hii aina ya mipira sana inachezwa na midfield maestro kama chama wa simba sc, xavi, david silva
 
Pass ni La pausa ?
Hiyo si ni Moja ya character za midfielder kudelay delay kupiga pass kuskilizia attention na mikimbio.
sikujua hii kitu mkuu, naskia pia una sekukunde zake za kukaa na mpira, zizidi 3. na ndio kilichotokea kuna mtu kahesabu
 
Ila lile goal la Yanga ni hatari zaidi natumai Ndio bao bora la mwezi
ndio magoli mabovu duniani. ile ni set piece. Magoli ya aina ile yalifungwa mengi sana msimu uliopita CAF champions league lakini Sakho akashinda kiatu. A good goal should involve so many players. Sisi bado tunawaza maholi ya mbali ndio magoli bora
 
Dunia gani iyo? Bao la mbali likawa la kawaida, kushinda kwa Sakho kiatu akufanyi mabao ya mbali yakatoka kwenye ubora wake yamekua bora toka zamani na bado yataendelea kuwa bora.
 
Umeamua kujitoa akili
 
Dunia gani iyo? Bao la mbali likawa la kawaida, kushinda kwa Sakho kiatu akufanyi mabao ya mbali yakatoka kwenye ubora wake yamekua bora toka zamani na bado yataendelea kuwa bora.
a good goal involes so many players. hayo ya mbali mengi yanakuwa ya kubaatisha. toto ndio magoli yake hayo, sopu anafunga pia magoli hayo. an average player can score also
 
a good goal involes so many players. hayo ya mbali mengi yanakuwa ya kubaatisha. toto ndio magoli yake hayo, sopu anafunga pia magoli hayo. an average player can score also
Set pieces sio kila mtu anaezafunga usichukulie poa ata ayo unayosem yana involve many players average players wanaweza funga vilevile ufundi wakupiga ile mipira sio wachezaji wengi wanayo ndio maana wachezaji kama Messi nafasi kama hizo zikitokea watu wanajua goal tayari
 
Ile assist ya chama imewekwa lamination huko uingereza [emoji91][emoji91][emoji91]
 
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…