Ila lile goal la Yanga ni hatari zaidi natumai Ndio bao bora la mwezi
Hapa mkuu umeongea kitu kikubwa sana, chama ni bonge la mchezaji anatumia akili nyingi sana anapokuwa na mpira, Kuna game na As Vita alifunga goli kwa style hiyohiyo alipata mpira ndani box akatuliza na kukaa nao kama sekunde kadhaa mabeki wa As Vita wakamfata kwa taharuki basi akapenyeza mpira katikati ya yao na hata kipa hakutegemea kama mpira utapigwa alishtuka mpira upo nyavuni.la pausa linatokana na neno la kihispani. ni matumizi ya ujuzi wa hali juu sana mchezaji/mshambuliaji anamfanya mjinga mpinzani, mchezaji mwenye mpira anatulia kidogo na kuwafanya mabeki waufuate mpira kwake kwa tamaa kuwa wataupata, baada ya mabeki kuufuata, kwa haraka sana na kutumia akili nyingi atapenyeza mpira huo kwa mchezaji mwenzie kwenye nafasi na kufunga. hii aina ya mipira sana inachezwa na midfield maestro kama chama wa simba sc, xavi, david silva
Kwan huyo okra hakufunga set piece dhidi ya geita?Set pieces sio kila mtu anaezafunga usichukulie poa ata ayo unayosem yana involve many players average players wanaweza funga vilevile ufundi wakupiga ile mipira sio wachezaji wengi wanayo ndio maana wachezaji kama Messi nafasi kama hizo zikitokea watu wanajua goal tayari
.Kwan huyo okra hakufunga set piece dhidi ya geita?
Au kwa vile mnalazimisha furaha kwa ile droo yenu ya jana
Furaha yenu imebakia hapa
Mashabiki wa simba tuandamane kukemea vikali kitendo cha azizi ki, kuacha mpira na kufyatua bomu kwenda kwa manula hata hvyo pongezi kwa manula kwa kujitahidi sana kulikwepa bomu lile.Ile assist alioitoa Chama na kuzaa goli la Simba leo inaitwa La Pausa kwenye soka. Mashabiki wa Simba kule Spain na Ulaya wanauliza kama lipo neno la Kiswahili?
View attachment 2395962
Hata haichekeshiMashabiki wa simba tuandamane kukemea vikali kitendo cha azizi ki, kuacha mpira na kufyatua bomu kwenda kwa manula hata hvyo pongezi kwa manula kwa kujitahidi sana kulikwepa bomu lile.
Ikibidi mkaolewe kabisa maana mnapenda warabuFuraha yenu imebakia hapa
Tarehe 2 tunaungana na club africain kila upande
Sio kubahatisha, ball striking si kila mtu anayo, mfano Chama ana la pausa ila hana ball striking , Aziz ki has got both La pausa + ball Striking na mengine mengi, inapohitajika credit mzitoe bila unazi.a good goal involes so many players. hayo ya mbali mengi yanakuwa ya kubaatisha. toto ndio magoli yake hayo, sopu anafunga pia magoli hayo. an average player can score also
Sio kubahatisha, ball striking si kila mtu anayo, mfano Chama ana la pausa ila hana ball striking , Aziz ki has got both La pausa + ball Striking na mengine mengi, inapohitajika credit mzitoe bila unazi.
hahahah, au pasi mgandoTuiite pasi mgandisho
goli la set piece la phiri sio goli zuriKwan huyo okra hakufunga set piece dhidi ya geita?
Au kwa vile mnalazimisha furaha kwa ile droo yenu ya jana
sio fei, na aziz kimiguu ya Chama inavipimo.alafu kuna wamakunaza walitaka kumfananisha Chama na Fei chitoto.
la pausa unaijua wewe au unaskia ru. unadhani kila mtu anaweza akawa na skills za La PausaSio kubahatisha, ball striking si kila mtu anayo, mfano Chama ana la pausa ila hana ball striking , Aziz ki has got both La pausa + ball Striking na mengine mengi, inapohitajika credit mzitoe bila unazi.
Ndoa yenu ya kupokea mabwana zenu pale JKNIA wanapocheza na mnyama simba imevunjika?Ikibidi mkaolewe kabisa maana mnapenda warabu