ASSISTANCE: Condomu kubaki ndani ya uke!

ASSISTANCE: Condomu kubaki ndani ya uke!

Bakulutu

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2011
Posts
2,557
Reaction score
1,787
Heri ya pasaka!
naombeni ushauri kama ikitokea wakati unafanya mapenzi, condomu ikabaki ndani ya uke baada ya kuchelewa kuitoa!!
 
Kuna mtu iliwahi kubaki akaambiwa inatakiwa atolewe hadi kizazi.
 
Kama imebaki tafadhari kimbia haraka sana hospital, hiyo iliwahi kumuua jiran yetu.
 
Hivi mnakandamizaje hadi hayo makitu yanabaki ndani?!
 
jaribu huduma ya kwanza, chuchumaa chini then fanya kama unapush, itatoka. Me ishanitokeaga mara kibao
 
una niwazia mm kuhusu ww!!! sio,lazima m2 akiomba ushauri iwe ndio imemtokea, umekurupuka ndugu!
 
Kuna mtu iliwahi kubaki akaambiwa inatakiwa atolewe hadi kizazi.

hata mimi nilimsikia huyo mtu.....tena wakati wanamtoa kizazi wakakosea wakamchubua maini......

 
hata cjui imetokea nn, ila nili usoma na nili uwasilisha ndugu.
 
duh! Mimi naona kondomu kubaki ukeni inatokana na uume kutokusimama vizuri au kusinyaa ghafla wakati tendo likiendelea, kama walivyisema wadau incase ikitokea chuchumaa halafu push kwa nje
 
Pole ushauri mzuri umetolewa tafadhali fuata haraka kunusuru maisha mkuu.
 
Na washukuru saaana jf kwa ushauri wenu mzuri...soon hatua stahiki zimesha fuatwa....
 
Back
Top Bottom