dongbei
Senior Member
- Jan 18, 2013
- 158
- 147
Salaam ndugu wana JF,
Bila kuwachosha, nataka kuomba kazi ya kufundisha Chuo kikuu kama Assistant Lecturer katika masomo ya sayansi. Kiukweli uzoefu wa teaching, research na consultance kama yalivyo majukumu makuu ya kazi za aina hiyo ninao. Nina CV yangu ila ningependa walau kupata uzoefu kwa walioko vyuoni na waliomba kwa njia hii ya ajira portal waweze ku-share CV zao walau nichote mawili matatu kabla ya kutuma maombi yangu.
Please kama hutojali karibu share kwa DM au hata kwa comment if it doesn't bother you. Pia, kama una namna unahisi waweza kuwa msaada kwa namna yoyote through this whole process za kazi through ajira portal karibu sana. Ndiyo mara yangu ya kwanza kuomba kazi na Hawa jamaa.
Karibuni na asanteni sana.
Dongbei 东北