assistant medical officer[AMO] anaweza kujiunga na chama cha madaktari

mbalila

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2013
Posts
824
Reaction score
161
napenda kuuliza inawezekana dactari msaidizi yaani [AMO] assistant medical officer kuijunga na chama cha madacktari,na taratibu za kujiunga ziko je? naomba kuwasilisha
 
napenda kuuliza inawezekana dactari msaidizi yaani [AMO] assistant medical officer kuijunga na chama cha madacktari,na taratibu za kujiunga ziko je? naomba kuwasilisha

Nenda chama cha madaktari ukapate ufafanuzi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…