Assistant Secretary of State (USA) reassured of a free and fair election in Tanzania

Assistant Secretary of State (USA) reassured of a free and fair election in Tanzania

jingalao

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
36,197
Reaction score
29,717
All is well and Tanzania is cool.

Mr Kabudi who is a Foreign Minister of Tanzania has done his job of telling the truth to the International community by reassuring that our next election will be free and fair.

It is our tradition as Tanzanians to honour and assure peaceful elections. This commitment is very important to counter all the rumours spread by few disgraced opposition leaders who are always staying at Dar es Salaam creating fraud enviroment to capture International attention and therefore funds for their benefits.

Kongole to Prof Kabudi to clear the fumes of politicians like Zitto

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
 
Chadema hitumia tume huru kuteua viongozi wake?
Swali la kijinga sana ! wenye mamlaka ya kuusemea uchaguzi ni Tume ya uchaguzi , siyo Mtu wa majalalani , tunataka tume huru liwake jua au inyeshe mvua
 
Kwa hiyo mnapingana na maneno ya Bashiru?

Sent using Jamii Forums mobile app
Matumizi ya Dola Kubaki madarakani ya maCCM - NoHateNoFear ( 389 X 640 ).jpg
 
Tume huru ya uchaguzi pekee ndiyo yenye uwezo wa kuwapa Watanzania uchaguzi ulio huru na haki!
Kabudi kutoa hakikisho la uchaguzi huru na haki, ni kuwatapeli tu watoa misaada.
 
Sio lazima ila uongo hufutwa na taarifa rasmi zenye ukweli.
Tume inachaguliwa, na rais, wakurugenzi makada wa raisi na wateule, igp anateuliwa na rais, jaji mkuu,mwanasheria mkuu wateule wa rais, mkuu wa jeshi mteule acheni masihara
 
March 6, 2020
Washington DC , USA

UJUMBE MAALUM WA RAIS DKT MAGUFULI KWENDA KWA RAIS TRUMP

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) akikabidhi ujumbe maalum wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kwenda kwa Rais wa Marekani Doland Trump. Anayeshuhudia ni Balozi wa Tanzania Nchini Marekani Balozi Wilson Masilingi
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) akiwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani ambaye pia anashughulikia masuala ya Afrika Mhe. Tibor Nagy mara baada ya mazungumzo yaliyofanyika katika Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani Washington,Marekani
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) akiwa katika picha ya pamoja na Balozi Mteule wa Marekani Nchini Tanzania Dkt. Donald Wright (aliyevaa tai nyekundu) Kulia ni Balozi wa Tanzania Nchini Marekani Balozi Wilson Masilingi
Source: PROF. KABUDI AWASILISHA UJUMBE MAALUM WA RAIS DKT MAGUFULI KWENDA KWA RAIS TRUMP
 
Tume inachaguliwa, na rais, wakurugenzi makada wa raisi na wateule, igp anateuliwa na rais, jaji mkuu,mwanasheria mkuu wateule wa rais, mkuu wa jeshi mteule acheni masihara
Ulitaka iteuliwe na Mbowe ili iwe huru?
 
Back
Top Bottom