Nyie wadanganyeni wafadhili ila moto ukishawaka ndio watajua kua mlikuwa mnasema uongoSio lazima ila uongo hufutwa na taarifa rasmi zenye ukweli.
Swali la kijinga sana ! wenye mamlaka ya kuusemea uchaguzi ni Tume ya uchaguzi , siyo Mtu wa majalalani , tunataka tume huru liwake jua au inyeshe mvuaChadema hitumia tume huru kuteua viongozi wake?
Chadema hitumia tume huru kuteua viongozi wake?
Tume huru!!??Tume huru ndio mpango mzima
Tume inachaguliwa, na rais, wakurugenzi makada wa raisi na wateule, igp anateuliwa na rais, jaji mkuu,mwanasheria mkuu wateule wa rais, mkuu wa jeshi mteule acheni masiharaSio lazima ila uongo hufutwa na taarifa rasmi zenye ukweli.