kahama kwetu
Member
- Jan 8, 2013
- 24
- 1
What do you mean by the term assistantship? Or you mean scholarship
Mhh....! ngoja wataalamu zaid watakuelekeza ila inategemeana na aina ya assistantship. mfano kama ni graduate assistantship unaenda labda US hapa utasoma huku unawasaidia kazi mfano km ni engineer unafanya research na kusoma/kufundisha, ile hela unayopewa unaitumia kulipia accomodation na misosi au upate profesa wa chuo hicho unachoenda akudhamini, na wakati mwingine assistantship husaidia kulipa nusu ya ada kulingana na vitendo au uhitaji wa chuo/mhusika aliyeamua kuku-assist.

Assistantship ambayo unakuwa unapewa malipo kwa kumsaidia prof kwenye research zake kimsingi ziko za aona mbili TA-Teaching Assistantship,RA-Research AssistantshipPartial scholarship?
Financial assitance?
Payment of tuition or living costs assistance?
Hebu kuwa wazi zaini.
Unaka nini na je ni jinsi ya kuomba au watu na taasisi zinazotoa msaada?