Association of movie fanatics (amf)

Association of movie fanatics (amf)

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,128
Reaction score
21,885
inakuaje wakuu? Jaman mimi nina idea. Siku chache zilizopita niliweza kukutana na jamaa nlofahamiana nao hapa Jf na tukaweza exchange muviz. Sasa nina wazo kwanin tusianzishe association flan ambayo tutaweza kuazimana muvi na kukutana kubadilishana mawazo kuhusu muviz? Ni wazo tu wakuu!
 
Thats a great idea. I am backing up King'asti, it should be movies and books.
 
inakuaje wakuu? Jaman mimi nina idea. Siku chache zilizopita niliweza kukutana na jamaa nlofahamiana nao hapa Jf na tukaweza exchange muviz. Sasa nina wazo kwanin tusianzishe association flan ambayo tutaweza kuazimana muvi na kukutana kubadilishana mawazo kuhusu muviz? Ni wazo tu wakuu!
Wazo zuri kiongozi,pamoja sana.
 
Back
Top Bottom