donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,128
- 21,885
nimekubali mkuuwazo zuri babu.napendekeza iwe movies and books...
Wazo zuri kiongozi,pamoja sana.inakuaje wakuu? Jaman mimi nina idea. Siku chache zilizopita niliweza kukutana na jamaa nlofahamiana nao hapa Jf na tukaweza exchange muviz. Sasa nina wazo kwanin tusianzishe association flan ambayo tutaweza kuazimana muvi na kukutana kubadilishana mawazo kuhusu muviz? Ni wazo tu wakuu!