Assume ndio siku yako ya harusi unakutana na vyombo kama hivi....

Nakumbuka tulikuwa kwenye kharusi moja ya ndugu yetu, nilikuwa na mabinti wengine pamoja na mdogo wangu mmoja mtoto wa mamkubwa, yule binti ni mrembo hasa alishawahi shiriki mashindano ya urembo pia.!!

Bwana kharusi akili yote ikamtoka akawa anamshangaa yule binti mpaka anapoteza concentration, unamuona kabisa huyu anajizuia lakini anashindwa, na upande tumekaa ni rahisi kuonana, wakati wa kula ndo kabisa hamtazami mkewe aliyevaa shela hapo pembeni, ni vimacho havitulii.!! aiseeh' ilibidi tufanye utaratibu tu tuondoke maana mambo yalikuwa tayari magumu,

Wanaume, walaqhi mtavunja ndoa zenu siku ya kharusi..!! πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
halaf wadada wanavyojuaga kujikwatua siku ya harus sijui wanatakaga kuwafukina ma bi harusi 😁😁😁
 
Mnakuwaga na ujinga siku ya harusi mnataka mumfunike mpaka bi harusi. Mikogo mingi[emoji3][emoji3]
 
Hahahaaa hii ni tamaa ya hali ya juu... Maskin bi harusi, hope hakuliona hilo maana ugomvi utaanza hapo
 
Mbona ulimkatili mkaka wa watu? Ungemuunganisha tu akapewe pumziko na faraja baada ya stress za mke.
Bwaana kharusi atulie tu na chaguo lake, hapa desree atanielewa vizuri.!!
btw, mrembo wa watu kashaolewa sahii na mtoto anaye.!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…