Assume ndio siku yako ya harusi unakutana na vyombo kama hivi....

Hahahahahahahahahahaahahahhahahahahaha

Umeingia mapendano hayo lazima utetee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Usidhani wanaomtetea jiwe wanaifanya kazi hiyo bure bure
 
Hapana sio hivyo ullivyofikiriawewe, yeye Bwana harusi alikua anamshangaa miss Tanzania, kama star/ mtu maarufu aliyekuja kwwnye harusi yake.Hata angekuja Joti angemshangaa tu.au Mbwana Samatta.
 
Hahahaaa hii ni tamaa ya hali ya juu... Maskin bi harusi, hope hakuliona hilo maana ugomvi utaanza hapo
Ndugu yangu kuna hali halisi,Ukiwa unakula ugali maharage ni tofauti na mtu anae kula Pilau ya mbuzi auya kuku wa kienyeji.utatoa mimacho tu.Hiyo ndo hali halisi.
 
Hahahaa yaan nyie watu hua mnafrahisha sana. Ila ni kwel kabsa usemayo
 
Je, sio kuwa hivyo vyombo ni vya nyumba moja - madada? Na kama ndio, basi ulichagua kati ya hivyo vyombo, hivyo hakuna jipya.
 
Hapana sio hivyo ullivyofikiriawewe, yeye Bwana harusi alikua anamshangaa miss Tanzania, kama star/ mtu maarufu aliyekuja kwwnye harusi yake.Hata angekuja Joti angemshangaa tu.au Mbwana Samatta.
Hahahaaa
 
halaf wadada wanavyojuaga kujikwatua siku ya harus sijui wanatakaga kuwafukina ma bi harusi [emoji16][emoji16][emoji16]
Kabla ya kuoa unatakiwa kuwa Malaya sana, mabinti uwe umechapa sana, Ndio ujivike taji la miba bila ivyo utakuja kuomba ushauri jamiii forum. Mwanamke wa kuoa anatakiwa awe wa kawaida sana, show gemu
 
Mara nyingi wanaoa mwanamke wa kawaida ndio wanadumu sana kwenye ndia kuliko wale wanaooa wanawake visu
 
Kwani hao wanawake wazur/warembo ni watamu sana kunako mambo kuliko hao wengine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…