Naona kila mtu anatoa jibu kwa hisia bila kuzingatia ukweli wa swali; Naona swali hilo limekosewa; swali sio assumption; mwandishi alitakiwa kwanza swali kuuliza ndio aweke assumption kupitia kupata jibu; najibu kwa kubadilisha swali kuwa " Hebu fikiria, Dunia bila wanawake ingekuaje?"
JIBU: Angekuwepo Adam tu, maanake Mungu asingemuumba mwanamke kutoka ubavuni mwa ADAM; Naona dunia ingekuwa shwari bila shida kabisa na tulivu; maana no sin ( maana wanawake ndio walianzisha pale Eden), no Ufisadi (maana mafisadi hufanya hivyo ili kuwakirimu wanawake), du Adam angeishi kwa raha mstarehe na dunia yote ingekuwa yake akiitawala bila shida kabisa
Tuendelee