Astaghafirullahi!!...semani wenye kusema leo!

Hehe hehe kiboko yake Reggie uzuri wote kakimbiwa!
 
me namuona wa kawaida tu labda vimidomo na tumacho ndo tuna mvuto
 
Anavutia kiasi, lakini naona make-ups ndio zimemtoa zaidi.
 
Abuu mchuchu unazeeka sasa..kweli ujana maji ya moto.
 
mmmh hapa kwenye uchaguzi, lazima JK apite aaah yule mwingine sijui ni nnani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…