Aston Villa inashinda mechi ya 4 mfululizo, tatizo ilikua ni nini?

The Humble Dreamer

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2015
Posts
7,574
Reaction score
10,598
Wakuu Salaam,

Hii timu sielewi ni kwanini inapata matokeo mazuri uwanjani kwa siku za karibuni.

Mechi za karibuni ni hizi:



Aston Villa inashinda mechi nyingi kuliko hata Man Utd tena kwa kifua mbele kabisa, nini cha ziada kimefanyika ndani ya hii timu?

Updated:

 
Tatizo lilikuwa timu haijazoeana na hasa kule mbele,sasa dean smith kaleta washambuliaji wapya ambao tayari wanaijua ligi ya uingereza,samatta bado alokuwa hajaijua na hajaizoea ligi ya uingereza,kama wangempa muda,pengine angeza kuwaletea ushindi kwa ushirikiano na wenzie
 
Hapo naona kashinda mechi moja tu Sheffield United maana huu msimu toka uanze wamepoteana sana . Hizo timu nyingine sio kipimo kizuri.
Subiri wakutane na timu kama evarton, Wolverhampton, Leeds, crystal palace ndio tuanze kutoa pongezi
 
Inakatisha tamaa sana
Kwanini uiombee dua mbaya Villa ili ishuke daraja?

Villa bado ni team ya Samatta coz ameenda Turkey kwa mkopo,mfano mzuri,Mbona Wa Uruguay hawaitakii mabaya Barcelona kwa kumuacha Suarez?

Mnatakiwa kuwashukuru Villa for the opportunity to Samatta,Villa ndio imemfanya Samatta acheze EPL japo kwa muda mfupi,mpira wa siku hizi ni biashara,wamiliki wa team wanahitaji matokea,muda sijui wakusubiri mchezaji azowee hakuna tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…