shuhuli zako za kuwanga hua unafanyia wapiMbagala boy.
kunywa sumu ufurahieGundu ilikuwa mtanzania ndani ya Timu au ulitaka kusema nini
mbagula.shuhuli zako za kuwanga hua unafanyia wapi
Wameshashinda zote 4 bwashee.[emoji2297][emoji2297]Ngoja tusubiri mechi 4 mfululizo za EPL tuone watakuwaje.
jana kamtia kidude leicester cityAnashinda against nani? Ni suala la muda tu
Still following...Wameshashinda zote 4 bwashee.[emoji2297][emoji2297]
Aseno ni mbovu ukilinganisha na timu gani?Msishangae timu mbovu Kama arsenal
Aseno ni mbovu ukilinganisha na timu gani?
Safi sana Villa. Watanzania wasio na akili walikuwa wanawaombea mabaya kisa mmeachana na boya Samata. Walitaka kuwapangia utafikiri wana hisa kwenye team.
Na vipi ukiilinganisha na Man ULeicester
Everton
Aston villa
Mbagala boy atarudi Simba soon very soon. Mark my words.Mbagala boy.
Na vipi ukiilinganisha na Man U
Endeleeni kusema hivyo hivyo. Ndo wanaondoka na point tatu tatu .Biashara asubuhi.Nguvu ya soda hao.