MrKanteChelsea
JF-Expert Member
- May 12, 2019
- 728
- 988
Kumbe Rashford tayari yupo Astonvila!Rashford na Asensio wameongeza chachu pale, vijana wameshindikana
KitamboKumbe Rashford tayari yupo Astonvila!
MAn u jamaa inaonekana alipachoka tuRashford kaibadilisha sana Aston Villa
Ujue mimi ni mjasiriamali wa mpira lakini huwa sifatilii kivile. Kuna muda huwa naangalia mpira ndio nashituka kwamba huyu mchezaji mbona alikuwa timu fulani huyu! Kumbe Kahama timu kitambo bila mimi kujua.Kitambo
Basi ndio hivyo,kaenda kwa mkopo,ila hawamtaki tenaUjue mimi ni mjasiriamali wa mpira lakini huwa sifatilii kivile. Kuna muda huwa naangalia mpira ndio nashituka kwamba huyu mchezaji mbona alikuwa timu fulani huyu! Kumbe Kahama timu kitambo bila mimi kujua.