Uzi maalumu wa mashabiki wa Aston Villa aka blue army toka siku ya kwanza.
Huku kijana wetu Mbwana Ally Samatta akiwa amemwaga wino hii inatupa sababu zaidi ya kulisuport hili chama.
Kuwa around mambo zaidi yanakuja
Nampongeza samata kwa kusajiliwa Aston villa fc ,ya England akaze buti Sana
But mm cyo shabiki wa Aston villa mm n shabiki wa fc Bayern Munich ,mkumbo niepuke