Aston Villa special thread (Blue army)

Hivi mbona TV imaan wala ITV hawaoneshi hii mechi?

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kama kapiga goli safi sana. Ndio kazi aliyoajiriwa nayo, hizo za kufungwa ni jukumu LA mabeki
 
Dean smith anashindwa kumtumia grealish, hafai kucheza kama LWF anatakiwa kucheza nyuma ya striker lakini pia amkazanie awe na maamuzi ya haraka aachie mpira haraka! Sio ana hold mpira pasina sababu ya msingi kama vile katoka nao kwa mama yake vile!!
 
Tupe matokeo mkuu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…