Aston Villa special thread (Blue army)

Chama langu la utotoni hili.Sasa hivi nalifanya back up ya Man u
The same mkuu
Miaka ya 2005 hadi 2009
Hii timu nilikuwa naikubali Sana,baadae ikashuka daraja nawaona sasa wapo vizuri
Kijana wetu anatuwakilisha vyema huko
 
Hata wafungwe 10 sisi hatuna tabu, almuhimu samatta kafunga kuonesha kiwango kizuri baasi! Hawa na jack grealish wao watatupa maradhi yasiyo na tiba.
Wakifungwa sana hata umuhimu wa Samatta utashuka.

Mpira tambo lake ni ushindi.

Timu unayofungwa 10-1 haiwezi kutamba kwamba imefungwa magoli 10 lakini ina goli moja la Samatta.

Be sensible please.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…