guru_observer
Senior Member
- Jan 25, 2020
- 171
- 295
Tumieni hii iko poa https://tv360.neocities.org/
Tumieni hii iko poa https://tv360.neocities.org/
Mie naona kama bado wenzake hawajamuelewa. Coz hawampi pasi pale kati kabisa. Sijui ni mfumo wao kupitia pembeni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tulia maneno mdomoni mpira uwanjaniAston villa hii mechi HACHOMOKI.
sawa mwalimu kashasha
Kuna aina nyingi za bao
Jamaa ana roho ya korosho
Nashindwa boss nikifungua nakuta matangazo ya betTumieni hii iko poa https://tv360.neocities.org/
Wametaja
hivi unajua mechi inayoendelea kuchezwa ?