kajamaa kadogo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2018
- 2,707
- 6,437
goli la wazi lipoje ? FafanuaSamata kakosa goli la wazi
ukipata jibu nitagUnafanya nini nyuma yake
Hii hata kwa ugoko angegusa, angefungaSamata kakosa goli la wazi
goli la wazi lipoje ? Fafanua
huku nilipo ni shwari tu umeme mpaka wa akiba
Katolewa au katoka mwenyewe?Wandufu tukalale....sammata kashindwa presha katoka mwenyeweee
jamani nimetaka kujua ukweli naambia Mimi mlevi daa aya sawaOngeza beer hapo ulipo
leo ametoa gundu tu siku nyingine anaweza kujiamini zaidi na kufanya jamboWandufu tukalale....sammata kashindwa presha katoka mwenyeweee
ha ha naona siasa imesogea mpaka ulayaleo ametoa gundu tu siku nyingine anaweza kujiamini zaidi na kufanya jambo
Kajitoa mwenyewe
Kiukwel kazingua,inabid akaze asiwe anakosa magoli km aliyokosa leo
Sent using Jamii Forums mobile app