kajamaa kadogo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2018
- 2,707
- 6,437
fafanua my friend "how"Watu washachomoa kumbe
Nadhani ni ugeni wa timu,Aina ya mpira na wachezaji wenzake. Amekosa kujiamini Japo Kasi pia bado hajaimudu. Akitulia,akazoea,akajiamini, akakaza zaidi kama kawaida yake atakuwa vizuri tuKiukwel kazingua,inabid akaze asiwe anakosa magoli km aliyokosa leo
Sent using Jamii Forums mobile app
1-1fafanua my friend "how"
Wewe tuletee stats zako
Hahahahahahahahah Mbona una hasira Mkuu,Tukumbushane tu.Wewe tuletee stats zako
Sawa mchawi, kwahio.una ushauri ganiSamatta alikuwa anazurura tu uwanjani.
Ulitaka nisemaje labda Msukule?
Watamzania wanafiki sana,
Hamna braza haters tu hao hahahHahahahahahahahah Mbona una hasira Mkuu,Tukumbushane tu.
Watamzania wanafiki sana,
Ishu sio samata kufunga, ishu ilikua hata asipofunga, basi timu yake iende FAINALI,
Sent using Jamii Forums mobile app