Mzuka wa Epl mzee af hakutak kwenda team kubwa ndo alipofeli, lakin wapo nafas ya18 lakini kwa man u hawachomoki[emoji23]Huyo jamaa alishafeli.
Dah! cjui itakuaje mjuba na siku hizi kapoa sana man acje akajikuta anaenda kuishia championship af tumsahau kabisa na kule ukienda kurud EPL ni mbinde maan kuna vitimu vinahasira mbaya!Huyo jamaa alikosea sana kwenda Aston Villa
Angetimkia zake hata spain akakichafue[emoji23]Sifa za kucheza EPL .wabongo washa msahau tayari
Man u wapo Fire kiaje mkuu ,sijakuelewa Fire ipi zaidi unaiongelea.Aston Villa ya samatta inakutana na Manchester United! Je samagoal ataweza kuisaidia team yake ikiwa nyumban kujinasua kwenye hatari ya kushuka daraja mbele ya mashetan wekundu walio on fire msimu huu unaomalizika!??
Tukutane sa 22:15pm
Sent from my TECNO K9 using JamiiForums mobile app
Wapo on fire kuhakikisha wanamaliza top4, ukiangali wanamaintan vizur record ya kupata matokeo wakiongozwa vyema na vijana wenye damu changa kabisa wakiongozwa na admin mwenyew Bruno kama Bruno[emoji23][emoji95]Man u wapo Fire kiaje mkuu ,sijakuelewa Fire ipi zaidi unaiongelea.