Last Seen
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 229
- 566
Timu anayochezea Mtanzania Mbwana Sammata, imetoka sare na timu ya Westham united na kubaki ligi kuu ya England kwa kukusanya jumla ya point 35.
Samatta hakuwa na msimu mzuri na timu yake kwani alitarajiwa kufanya makubwa ili kuziba pengo la mshambuliaji wao Wesley ambaye ni majeruhi.
Samatta bado ana muda wa kuwaonesha mashabiki wa Aston Villa na Mashabiki wake uhodari wake wa kuzama nyavuni Kama ilivokuwa TP mazembe na KRC Genk.
Pongezi nyingi kwa Samatta na Aston Villa.
SHUKURANI ZAIDI KWA TIMU YANGU YA ARSENAL KWA KUWAPA ASTON VILLA USHINDI LAINI WA 1-0 MECHI ILIYOPITA[emoji1787]