Aston Villa ya Samatta yanusurika kushuka daraja

Last Seen

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2013
Posts
229
Reaction score
566
Timu anayochezea Mtanzania Mbwana Sammata, imetoka sare na timu ya Westham united na kubaki ligi kuu ya England kwa kukusanya jumla ya point 35.

Samatta hakuwa na msimu mzuri na timu yake kwani alitarajiwa kufanya makubwa ili kuziba pengo la mshambuliaji wao Wesley ambaye ni majeruhi.

Samatta bado ana muda wa kuwaonesha mashabiki wa Aston Villa na Mashabiki wake uhodari wake wa kuzama nyavuni Kama ilivokuwa TP mazembe na KRC Genk.

Pongezi nyingi kwa Samatta na Aston Villa.

SHUKURANI ZAIDI KWA TIMU YANGU YA ARSENAL KWA KUWAPA ASTON VILLA USHINDI LAINI WA 1-0 MECHI ILIYOPITA[emoji1787]
 
Samatta alifunga bao la kusawazisha? Niliondoka baada ya Aston vila kufungwa bao zuri sana nikawa sina hamu ya kutazama tena. Wakati huo Samatta alikuwa benchi
 
Samatta alifunga bao la kusawazisha? Niliondoka baada ya Aston vila kufungwa bao zuri sana nikawa sina hamu ya kutazama tena. Wakati huo Samatta alikuwa benchi
Watu wengi najua mmechangaza jezi walizovaa Westham mkifikiri ni Aston villa. 🀣🀣🀣🀣🀣 Wewe ni mmojawapo mlio changanya.
 
Msimu ujao first choice striker wao Wesley atakua fit jamaa naona atakua anasugua benchi . Unless wacheze 2 juu
 
Msimu ujao first choice striker wao Wesley atakua fit jamaa naona atakua anasugua benchi . Unless wacheze 2 juu
Lazima waingie sokoni na kuchukua wachezaji wazuri zaidi.
Samatta aje afanye uswahili otherwise atapata shida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…