Aston Villa ya Samatta yanusurika kushuka daraja

Bado ana muda wa kurudi kwenye form, ni vile tu pia team yote haiko poa.
 
Watu wengi najua mmechangaza jezi walizovaa Westham mkifikiri ni Aston villa. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wewe ni mmojawapo mlio changanya.
Jezi wamechanganya.. Hata scores nazo hawakuona? Wenge
 
SAMATTA KESHAZEEKA..SIJUI KWANINI HATUTAKI KULIONA HILI?.. toka enzi zile na kina juma jabu na shiboli? ..guyz that nigga is fuckkiing old !!
Pia wamesahau kama Nigga siku hizi kaoa na ndoa bado mpyampya tu.
 
Samatta hamna kitu kabisa yuko overrated sana na media za Tanzania
Umesahau na media za Kongo na Ubelgiji. Pengine hata za ulaya alipoipeleka timu yake ya GENK champions league.

Kisimati au uwezo!
 
Umesahau na media za Kongo na Ubelgiji. Pengine hata za ulaya alipoipeleka timu yake ya GENK champions league.

Kisimati au uwezo!
Yani DRC ilivyo na world class players zihangaike na Samatta mkuu seriously?

Media gani ya ubelgiji ilimzungumza Samatta kama anavyozungumzwa Tanzania?
Belgium ina kizazi cha dhahabu wana wachezaji wengi sana wakuwazungunzia.

Nafahamu Samatta ameshakuwa top scorer wa Jupiter league ila hakuzungumzwa kama tunavyomzungumza sisi, sisi tuna Samatta na Msuva Belgium wana kina Samatta wao zaidi ya elfu 1!
 
Worry out we will die after your mom, daddy and of course your damn sisters!
 
Samatta alifunga bao la kusawazisha? Niliondoka baada ya Aston vila kufungwa bao zuri sana nikawa sina hamu ya kutazama tena. Wakati huo Samatta alikuwa benchi
Unazungumzia mechi ipi mkuu??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…