Shirika la Madawa la Ulaya (EMA) linapendekeza chanjo ya Novavax ya #COVID-19 kubeba onyo la uwezekano wa mtumiaji kupata ugonjwa wa aina mbili za kuvimba kwa moyo ‘myocarditis’ na ‘#pericarditis’ Mnamo mwezi Juni, Wasimamizi wa Chakula na Dawa wa Marekani walibaini athari kali za mzio...