AstraZeneca imegundulika kutibu cancer ya mapafu katika stage za mwanzo

Mimi ninayo dawa ya kutibu Cancer ya Mapafu kwa stage zake zote 4.
 
Njia salama ya kutibu Cancer ni kukata sehemu yenye Cancer. Hizo njia zingine zinasababisha matatizo Cancer kurudi tena kwa kasi zaidi.
 
Tuandikie kwa lugha yetu adhimu ya kiswahili
 
Msukuma ameanza kuhoji msimamo wa maprofesa ambao mpaka March mwaka huu wakisema hakuna Covid Tanzania na sasa hivi wanahamasisha chanjo.
Msukuma mpumbavu yeye chanjo haimhusu kwa sababu hana uwezo wa kusafiri njee ya nchi yeye biashara zake ni za hapahapa bongi
 
Post nzima sikuona mahala paliposema kuwa chanjo ya covid inaweza kutibu cance ya mapafu. labda kama kuna mstari sijauona vizuri. Astrazaneca ni kampuni sio chanjo ya covid.
 
Hivi hiyo chanjo mitaipataje niwachanje hawa mbwa wangu
 
Astrazaneca sio chanjo ya Covid 19, hilo ni jina la kampuni, kama ukisikia kuna chanjo ya Johnson and Johnson, ni jina la kampuni.

Kwenye link ulioleta sijaona mahala paliposema kuwa chanjo ya covid inafaida ya ziada ya kutibu cancer ya mapafu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…