Hiyo ni hatari kwa afya yako.
Asubuhi ya kweli inaanza na heshima kwa mwili wako — kumpa lishe sahihi kabla dunia haijaanza kudai nguvu zako.
🥒 Matango mabichi — kwa detox na ngozi yenye afya
🥕 Karoti — zenye Beta–Carotene kwa macho na ngozi
🌶️ Pilipili hoho nyekundu — chanzo kikubwa cha Vitamin C kwa kinga bora ya mwili
🧅 Beetroot — mpiganaji wa kuondoa inflammation mwilini kimyakimya
🥚 Mayai mawili ya kienyeji — protini safi na mtetezi mkuu wa Testosterone ya mwanaume rijali
👉 Huu ndio mlo wa asubuhi unaoweka misingi ya:
✅ Kinga thabiti
✅ Akili safi
✅ Mwili usiotetereka
✅ Afya ya uzazi yenye nguvu
Siri ni moja: Kila asubuhi kabla ya chochote, lishe sahihi hutoa amri ya afya bora.
Akili za kuambiwa changanya na za kwako utakuja kunishukuru nimefanya kazi usiku badala asubuhi niweke vitu vitu vya kuchinja asubuhi nianze kula Karoti kwelii
Sidhani kama wachimba mitaro ya TTCL, Wakulima wa jembe, Wachimbaji madini, Wanaomwaga nzege, Wachana mbao na wengine wa kazi ngumu mtaelewana kwa hiyo MENU.