Asubuhi Njema Jabali la Muziki live on stage!

Asubuhi Njema Jabali la Muziki live on stage!

KIM KARDASH

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
5,139
Reaction score
1,147



Marijani Rajabu a.k.a. Doza akiwa bado kinda!


marijani+rajab.jpg



Muone Marijan Rajabu katika onyesho 'live'

Wengi humfahamu Marijani Rajabu kama mtunzi na muimbaji, lakini alikuwa pia mpiga gitaa mahiri, kama anavyoonekana katika video hii wakati yuko katika kundi lililokuwa na staili wakiiita 'Mahepe Ngoma ya Wajanja'. Hii ni clip fupi kati ya nyingi zitakazoonekana katika kipindi cha TV kitakachoanza kuwa hewani karibuni ili kuhifadhi historia ya sanaa zetu Tanzania.
(JOHN KITIME)

Marijani rajabu1 - YouTube




Hapa pata bonus truck kitu mwajuma toka kwake "doza' marijani rajabu,unakumbuka wapi?

mwajuma- MARIJANI RAJAB - YouTube
 
Leo nimeshinda kutwa nikisikiliza nyimbo zake hasa @pendo si la kulazimishana@.Nimewawekea wanangu nikawauliza kuhusu mtiririko wa kisa chenyewe na wote walimkubali.
Hakuimba nyimba ya kipuuzi,zote ni za kuelimisha tangu akiwa trippers.
Mungu Amsamehe makosa yake na amuweke peponi,Aamin.
 
Mahepe Ngoma ya Wajanja' ndo ilkuja ''kumharibu'' na kupelekea mauti yake
 
Mahepe Ngoma ya Wajanja' ndo ilkuja ''kumharibu'' na kupelekea mauti yake

mzee kama sijakusoma vile...unasema mahepe ndio ilimuharibu na kupelekea kifo chake??una maanisha nini labda....
 
angekuwa hai basi vijana wa bongo flava wangeimba nae na kumvalisha nguo za ujana kama mzee Zahir Zoro
 
Back
Top Bottom